Mliokuwa short-listed MUCE, mmeona interview number?

Mliokuwa short-listed MUCE, mmeona interview number?

Ahmed Saidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
1,588
Reaction score
3,487
Habari zenu wanaJF

Naomba kuuliza kwa wale waliokuwa-shortlisted MUCE, vip mmeona interview number kwenye account zenu? Maana mimi kwangu hadi sasa hivi hamna kitu na interview ni kesho.
 
Habari zenu wanaJF

Naomba kuuliza kwa wale waliokuwa-shortlisted MUCE, vip mmeona interview number kwenye account zenu? Maana mimi kwangu hadi sasa hivi hamna kitu na interview ni kesho.
Nikugawie yakwangu, mimi sitoweza kwenda. Nimeitwa sehemu mbili tarehe moja.
 
DUCE tumepewa interview namba leo leo tukiwa kwenye paper.. kama umekuwa shortlisted wewe nenda tu ... namba utazikuta kule kule
Vipi matokeo DUCE bado hawajaweka tu manaa walisema saa tisa ila kila nikichungulia bilabila, yawezekana wametumia njia nyingine kutaarifu watu vip wewe unataarifa yoyote?
 
Back
Top Bottom