Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Nikugawie yakwangu, mimi sitoweza kwenda. Nimeitwa sehemu mbili tarehe moja.Habari zenu wanaJF
Naomba kuuliza kwa wale waliokuwa-shortlisted MUCE, vip mmeona interview number kwenye account zenu? Maana mimi kwangu hadi sasa hivi hamna kitu na interview ni kesho.
We kwako umepewa kwa MUCE?Nikugawie yakwangu, mimi sitoweza kwenda. Nimeitwa sehemu mbili tarehe moja.
Shukrani me Niko huku tayari nasubir paperDUCE tumepewa interview namba leo leo tukiwa kwenye paper.. kama umekuwa shortlisted wewe nenda tu ... namba utazikuta kule kule
Kila la heri mkuuShukrani me Niko huku tayari nasubir paper
DUCE wameweka leo kwa accountDUCE tumepewa interview namba leo leo tukiwa kwenye paper.. kama umekuwa shortlisted wewe nenda tu ... namba utazikuta kule kule
Vipi matokeo DUCE bado hawajaweka tu manaa walisema saa tisa ila kila nikichungulia bilabila, yawezekana wametumia njia nyingine kutaarifu watu vip wewe unataarifa yoyote?DUCE tumepewa interview namba leo leo tukiwa kwenye paper.. kama umekuwa shortlisted wewe nenda tu ... namba utazikuta kule kule
Hamna mkuu.. mwenyewe nachungulia tu website kama weweVipi matokeo DUCE bado hawajaweka tu manaa walisema saa tisa ila kila nikichungulia bilabila, yawezekana wametumia njia nyingine kutaarifu watu vip wewe unataarifa yoyote?
Mkuu vipi matokeo wametoa maana mpaka muda huu kimya tu na oral ni kesho.DUCE tumepewa interview namba leo leo tukiwa kwenye paper.. kama umekuwa shortlisted wewe nenda tu ... namba utazikuta kule kule
Mkuu mimi nilifanyaga interview SUA matokeo walitoagaa saa7 usiku na kesho yake tukaenda ORALMkuu vipi matokeo wametoa maana mpaka muda huu kimya tu na oral ni kesho.
Duuu hii hatari oral ilikuwa presentation au maswali tu ya ana kwa anaMkuu mimi nilifanyaga interview SUA matokeo walitoagaa saa7 usiku na kesho yake tukaenda ORAL
presentation halafu yanafuata maswali ya ana kwa anaDuuu hii hatari oral ilikuwa presentation au maswali tu ya ana kwa ana
presentation halafu yanafuata maswali ya ana kwa ana
Sawapresentation halafu yanafuata maswali ya ana kwa ana
hatukua wengi hata .. sasa mbona mpaka sasa hawajatoa?Mkuu mimi nilifanyaga interview SUA matokeo walitoagaa saa7 usiku na kesho yake tukaenda ORAL
Mpaka sasa ziii naona za adem zimetoka ila DUCE Kimyaahatukua wengi hata .. sasa mbona mpaka sasa hawajatoa?
Duh aiseee.. mwalimu nyerere walikuwa wengi ila saa moja walikuwa washatoa.. Duce sijui shida ni niniMpaka sasa ziii naona za adem zimetoka ila DUCE Kimyaa
Usikute walio faulu wamefikishiwa taarifaDuh aiseee.. mwalimu nyerere walikuwa wengi ila saa moja walikuwa washatoa.. Duce sijui shida ni nini