Mliomshambulia January Makamba njooni mumpongeze baada ya hali ya umeme kutengemaa

Maji yakimwagika hayazoleki. Ameshafeli. Tunazungumzaje na tunazungumzia nini?
 
Amefeli katika Nini,Eleza ueleweka na kujibiwa kwa hoja
Hili la umeme kipara amefeli mazima. Kwa mfano, amekuwa mtu muongo sana kwenye sababu za kwanini umeme unakatika. Mara ya kwanza alisema enzi za mwendazake, maintenance ya mitambo haikuwa inafanywa inavyotakiwa. Mara akasema miundombinu ya usambazaji...mara maji yamekauka....mara tunafanya matengenezo ya mitambo.
Uongo unadhihirisha kitu kimoja...he is unreliable. Hata ile ya bwawa la umeme kukosa crane...it was also a lie!
 
Asaivi maumeme ni ya kutosha mpaka yanamwagika, wapingaji hata kuja ku-appreciate wamegoma.
 
Huo ni wajibu wake na wananchi wanahaki ya kulalama vitu visipokuwa sawa

Unataka tumpongeze kwani kaleta mageuzi ya umeme Bure🙃
 
Kukatika kwa Umeme kulitokana na Hali ya ukame iliyokuwa imeikumba nchi yetu Kama ambavyo tulielezwa na mh Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na Usalama mh Dr Mama Samia Suluhu Hassan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…