GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkwere Original tunaomjua na Kumuangalia mara kwa mara hata nje ya Kuigiza na kukutana nae mara kadhaa huko Mitaa ya Kwake Mbezi ya Bonyokwa Yeye kila Kitu tu hukifanyia ' Komedi ' na ni lazima utacheka mno.
Nimetoka kuona Kipande cha Taarifa ya Habari ITV muda si mrefu akihojiwa Kuhusiana na huu Msiba wa Mwenzao ' Kikundini ' Mzee Matata na Kumuona ' Akilia ' kwa ' Hisia ' kama ambavyo hata katika ' Komedi ' zake nyingi amekuwa akifanya hivyo.
Je, hiki Kilio chake alichoonekana nacho ITV ni cha Ukweli au ni muendelezo wake tu wa kupenda kufanya ' Komedi ' Matukio yake mbalimbali? Na wala nisifiche binafsi GENTAMYCINE nilivyomuona Akilia badala ya Mimi pia Kuungana nae katika Majonzi nikajikuta navunjika tu Mbavu zangu kwa Kucheka.