Mliongalia Tamasha la Simba day je,leo simu ilipigwa?

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
9,024
Reaction score
18,683
Salaam wakuu

Kama heading inavyojieleza ,vipi leo bi mkubwa alipiga simu kwemye tamasha?

Usiku mwema
 
Simu haikupigwa Ila kama kawaida lazima chawa wapate point ya kumchomeka boss wao
 
Unataka wajibu shombo kama Kipindi kile mama anawasalimia wana nao wakajibu kamsalimiiiieee mama yako
 
mbona haujauliza kuwa umeona hata bango lakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Simba sio matako ya mama zao alafu yule camera man aliye muonesha msigwa tuna kazi naye😠😠😠😠😠😠😠😠

Platform ya michezo we ulete siasa!!!???
hihiiii ya jaji kutoka Uganda nga twivapuvaaa!!!
 
Ngoja tuone leo kwa 🐸
 
Simu haikupigwa Ila kama kawaida lazima chawa wapate point ya kumchomeka boss wao
Hatari unaambiwa ila kupiga simu nahisi wameogopa mambo yasije kuwa mengi. ngoja tuangalie tamasha la wananchi wale akili zao nina wasiwasi nao wanaweza kuingia king
 
Kaingia baridi...kile walichomfanyia FA hataki tena masuala ya kupiga simu kweny kadamnasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…