Mlionunua hisa za Voda na kinachowakuta ACACIA leo liwe funzo kwenu

Aaron

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,019
Reaction score
4,693
Wana bodi.
Ni siku kadhaa jpm alisema anataka kupitia upya mapato ya mitandao ya simu. vodacom iko kwenye soko la hisa na watu wanaendelea kununua hisa tena kwa kuhamasishwa na serikali.
Nawatahadharisha huyu anayewambia mnunue hisa na siku akimfanyia uchunguzi ikagundulika huwa analiibia taifa mtajuta kwa maamuzi yenu.
Nawapa tahadhari. Mjitathimini kama mnaweza kuendelea na hisa zenu.
 
uandishi wako+contents za mada+elimu yangu ndogo=? ..... dah umeni vuruga kabsaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…