Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Kulingana na story kua nyingi mara hili mara lile kuuhusu ku-date wanyarwanda!

Mara mkizaa watoto unapachikiwa mtoto wa katikati na ndugu yake mkeo! Mara wanakimbia na watoto! Yaan vulu vulu
Wengine wanadai ni waaminifu sanaa n.k Nimeona niombe experience.

Eehh

KAMA UMEOA AU UNADATE MNYARWANDA MAMBO YAKO!

 
Hakika watupe info zaidi maana watoto wa huko machoni wanafaa kwa matumizi.


Story nazofahamu kuhusu hawa viumbe wa Rwanda ni kuwa karibu sana kwao kuliko familia.

Yaani kwenye maamuzi wanasikiliza kwao wanasema nini ndicho kinafanyika.

Kwaiyo inawezekana umeuoa uko nae zanzibar maamuzi yanatoka kigali
 
[emoji117]Kwanza lazima uwe na vitanda viwili kimoja cha game kingine cha kulalalia maana wana mwaga maji kama kama mto malagarasi

[emoji117]Pili kwao mwanamke anasikilizwa sana hafokewi wala kupigwa mara nying huwa wanajisahau na kutaka hii tabia ku apply nje ya kwao

[emoji117]Tatu wanaamini katika kukuza kizazi chao pure so hata kama akizaa na mtu sio mnyarwanda lazima atazaa na mnyarwanda mwenzie hata mtoto mmoja

[emoji117] Nne wazuri wanapenda bata na wanatupenda sana wa TZ yaani mtz ukienda Rwanda utongozi mara mbili
 
Mh! au na wewe ni miongoni mwao
 

Apo kuna kwene kumwaga maji kama mto malagalasi!![emoji23][emoji23]

Kulikua na haja kweli
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Women are just women,they are the same,in their syche,
No what the skin coloure,
 
Mkuu hebu nipe taarifa zaidi maana natafute mke pengine nitaenda huko yaani are you joking or what? you mean their you know what when doing you know what releases huge amount of that liquid??? mkuu nielimise pls, natanguliza shukrani
 
mkuu hebu nipe taarifa zaidi maana natafute mke pengine nitaenda huko yaani are you joking or what? you mean their you know what when doing you know what releases huge amount of that liquid??? mkuu nielimise pls, natanguliza shukrani

@Tajiri tumbo kubwa Kulikua na haja ya kutumia kingereza!!??

Ona sasa[emoji23][emoji23][emoji23]unavoaibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…