Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Ndo nawaza hapa ngoja nizame porini walau one year kwa kujibana maana mida ya lala salama hii, huu sio umri wa kulipwa laki mbili kwa mwez si ntaua familia hapo later
 
Ndo nawaza hapa ngoja nizame porini walau one year kwa kujibana maana mida ya lala salama hii, huu sio umri wa kulipwa laki mbili kwa mwez si ntaua familia hapo later
Sahihi mkuu mwenyewe was in Γ  situation like yours lakini toka niushinde uoga naona mambo yanaenda na vijana wanazidi kuniita baba.
Ila pia oa usikose vyote
 
Oa tu utaona mambo yanafunguka seriously!
 
Mm Nilianza kuishi na mwanamke nikiwa 28yrs tukazaa mtt mmoja wakat huo nalipwa 450k nilipo panda kijicheo nkawa nalipwa 550k nkafunga ndoa nikiwa 30yrs baada tu ya kufunga ndoa mambo yalininyookea asee daah sahv am 33yrs nna watoto wawili nipo kwenye ajira ya Kudumu inshallah life is Good....ushaur wangu Usioe kutokana na pressure ya Jamii au Tamaa Pambana unavojua Ww angalau kuwa na uwakika wa kipato kizuri Ndoa ni majukumu...ila nnachoamini kama una Nia ya dhati ya kutaka kuoa ili utulie na Familia yako muombe Mungu na ongeza juhudi za Kutafuta rizik Mungu atakubariki Mambo yatakua mazuri tu, Usiridhike na hapo ulipo Pambana and don't Give up!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…