Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Millioni mia hamsini na ushee unashindwa kuishi, are you serious bro?
 
Hakuna ndoa au mahusiano perfect Duniani, Ukiona watu wanaishi vizuri jua kuna mmoja anamvumilia mwingine.

Kwahyo ni lazima mtu mmoja ajitoe akili au match au kubali mawazo, tabia na kila kitu cha mwingine ili mambo yaende hapo mta kufa na kuzikana
 
Sure ,mafahali wawili hawakai zizi moja ,50/50 inaua sana ndoa kwasasa.

Kwa Mwanamme ukishafika 25 inabidi uwe ushaoa na wanawake 19 ,nje ya hapo ushachelewa!
 
Ahsante mkuu kipato kidogo ila kuna nguvu behind inanihitaji nioe
 
Hakuna ndoa au mahusiano perfect Duniani, Ukiona watu wanaishi vizuri jua kuna mmoja anamvumilia mwingine.

Kwahyo ni lazima mtu mmoja ajitoe akili au match au kubali mawazo, tabia na kila kitu cha mwingine ili mambo yaende hapo mta kufa na kuzikana
Kumbe
 
Nakupa ushauri wa kiutu uzima nikiwa kama mtu mzima!!

KAMA HAUKO FINANCIALLY STABLE ACHA HABARI ZA KUOA!!

Simaanishi kuwa uwe TAJIRI au uwe na mapesa mengi....bali ni ile ya kujimudu na kutatua changamoto zako za kimaisha za kila siku kama mwanadamu!!

Swali jepesi unalopaswa kujiliuza!!

Kama wewe mwenyewe elfu moja haikutoshi itawatoshaje watu wawili...!??
 
Maisha sio mapesa mengi bali location na upatikanaji wa mahitaji ta kirahisi !!

Uking'ang'ania location pasua kichwa hakuna hata space ya bustani ya tembele lazima utaona life gumu sana!

Hasa vijana wa 2000 walioaminishwa maisha yapo Dar wannabaki wanaranda randa mitaani na mishe zenyewe hazieleweki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…