Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Hakuna ndoa au mahusiano perfect Duniani, Ukiona watu wanaishi vizuri jua kuna mmoja anamvumilia mwingine.

Kwahyo ni lazima mtu mmoja ajitoe akili au match au kubali mawazo, tabia na kila kitu cha mwingine ili mambo yaende hapo mta kufa na kuzikana
Umeonhea point kubwa mzeer shut out, mbona masikini wame oa? Nyie vijana Kuna mahala pesa Ina bamz sababu uwezo wetu aulingani, hivo jikubali chapa lapa
 
Zama migodini huko hela zipo nje nje, kikubwa ni kujichanganya na kukaza mtoto wa kiume, unavaa tai huku unalipwa laki mbili, huoni kama nguvu kazi inapotea bure
Usha wahi kuishi migodini? Nani alie kwambia pesa njenje, mitandao is ku hadae au umechotwa na gsm wa katoro dokta, acha huko pasikie tu nimepita
 
Tafuta connection..alafu ndoa isiiover rate sana
 
Usha wahi kuishi migodini? Nani alie kwambia pesa njenje, mitandao is ku hadae au umechotwa na gsm wa katoro dokta, acha huko pasikie tu nimepita
Mbona umeongea maneno mengi as if unanijua? Migodini ni kwa wanaume wapambanaji na wanawake wa shoka wewe kama ulishindwa wenzio walikaza wakirudi plant sio wale tena
 
Mbona umeongea maneno mengi as if unanijua? Migodini ni kwa wanaume wapambanaji na wanawake wa shoka wewe kama ulishindwa wenzio walikaza wakirudi plant sio wale tena
Stori za vijiweni hizo, ingekua hivo Kila alieenda mgodini ange kua tajiri dokta kule ni nyumbani nimezaliwa kna watu nawaona bado masikini mpaka leo bado wanasota
 
Sio kama nitajaribu kujibanabana mkuu
 
Wewe una nini mpaka hapo ulipo,tuambie Mafanikio yako ili tujifunze kwako na umri wako pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…