Unaenda pori gani mkuu? Usije ukaliwa na mbung'o na kupe.Ndo nawaza hapa ngoja nizame porini walau one year kwa kujibana maana mida ya lala salama hii, huu sio umri wa kulipwa laki mbili kwa mwez si ntaua familia hapo later
Unatafuta chambichambi alafu unatokomea ughaibuni πHahaha azingatie code ,kitourist bwashee π
π π πUnatafuta chambichambi alafu unatokomea ughaibuni π
Crate nne ili ugundue niniπ«’Hahaha mimi leo nalifungulia nyuki π π hapa nakula vibia vya 5000 tu, zikifika kreti 4 nikajitupe kama punda wa dobiπ
Aachane na masuala ya Ndoa afanye mambo mengineMpe ushauri wa kuishi na familia akiwa na pesa ndogo.
Inatakiwa ada, kodi, bill za nyumbani, pesa za kuhonga n.k
Ndugu yangu okoka. bwana anakupenda.Nna hangover ya jana staki kabisa kuongeza kituππΎ
Ko mwendo wa dagaa kauzu, miguu ya kuku, figiri sana sioHela unaibajeti jinsi ilivyo na unaishi kabisa usilazimishe kuishi maisha ya juu kuliko ka hela kako.
Tunaishi hivyo mkuu hakuna namna
Kwanini mkuu, umri unaendaAachane na masuala ya Ndoa afanye mambo mengine
Lengo lako uanze kuchangamka saa 2Hahaha mimi leo nalifungulia nyuki π π hapa nakula vibia vya 5000 tu, zikifika kreti 4 nikajitupe kama punda wa dobiπ
Basi hiyo ni kwako mkuu,Sana maana sikutaka nikose Vyote mkuu.
Hapo nani alaumiwe mkuu kama sio mwanamke?Duh hatar sana
Vunga bwashee πLengo lako uanze kuchangamka saa 2
Mkuu rudia kusoma kwenye mabano pale sababu ya kushindwa kumchukua, punguza kisukarUnaona fahari kujisifia ujinga, vijana mnaona ni sifa kumzalisha msichana bila kumuoa mkiitwa watoto wa malaya mnakasirika
Kula maisha kijana NDOA NI UTAPELI TUKwanini mkuu, umri unaenda
Naskia sikuizi ukikaa vibaya wanaweka tissue πVunga bwashee π
We babaako hakuoa ? πKula maisha kijana NDOA NI UTAPELI TU
Moja ya ushauri bora kabisa, nimeipokea hiyo mbuni mkuumiaka inakwenda kweli, vuta mlupo unaoupenda, mwambie kaa hapa tuyajenge. ukipokea mshahara mkabidhi na ile slip ya salary.... mwambie naomba ya nauli, then weka kiasi hiki benki.... dogo, utaishi vema mno....in six monthy...cheki akiba (sahau kabisa michepuko) jenga familia...ongea nae vipi inatosha kuanzisha chochote tuongeze income?... angalia uelekeo wake....akikwambia ndio, tulizana, add 3 monthy tena.....then aanzishe kitu, mpende mtunze.....nakwambia mnatoboa,,,,,nilianza na laki,,,,,,nililishwa kabichi kama sungura, ila tulivuka, ila sijui nini kilimgeuza na safari ilikuwa mbali sana.....ila anzia hapo
Mimi sijui kuhusu hilo mkuuWe babaako hakuoa ? π
Kumbe wewe mpaka hamasa yako ni mke wako?mpka mke wako akusukume ndio ufanikiwe na kupambana?Umeelewa nilichoandika lakini, nimekuambia msukumo, sasa kama huna mipamgo utatokaje ? kama hamasa ya mke haikusukumi kufanya lolote utaendeleje?