Mliooa "boxer" mnaanika wapi?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Kuna maswali mengine huonekana ni ya kijinga lakini yana maana.


Kwa wadau ambao mmeoa na nyumba unayoishi sio master bedroom, nyumba nzima mnatumia choo kimoja hivi boxer zenu huwa mnaanika wapi?

Hapa mjini tuvyumba tudogo, ukisema uanike tu chumbani chumba kitakuwa kinanuka harufu ya uvundo na ukianika bafuni naona noma wageni wakija au beki tatu anaona boxer zangu... hahaaha

Mnaanika wapi boxer zenu?
 
Duuuuh!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hiyo sio kazi yako ni kazi ya mkeo. Km wote mnaaibu nendeeni mkapange master
 
Na hili ni tatizo kubwa sana hata kwa kina mama.chupi ni nguo kama nyingine zianikwe juani baada ya hapo zipigwe pasi kina dada wengi wanakuwa na uambukizo usioisha kwa sababu tu ya kuanika chupi uvunguni mwa kitanda..........reproductive system is very delicate asset protect em.
 
Kwani mpaka dk hii unaandika hiv unaanika wap ww?
 
Anika nje kwenye kamba ya kuanikia nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…