Unaanza kutoa siri za ndani ujue...Kuwa nazo za Monday-Friday unafua zote Saturday unazianika nje kwenye jua. Nunua mbili tatu za ziada kama mvua zinanyesha.
Sisi tukiwa safarini to the moon inabidi tufue kila siku.
Salaam dada ake,Mmh. Itakuwa haziko vizuri ndio sababu unajiuliza pa kuanika.
Mwambie mkeo akizifua aanike nje pia jitahidi uwe nazo za kutosha angalau afue kwa wiki mara moja.
Id fake acha tujiachie mama Mkwe awezi tembelia mitaaa hii.Mie sivaagi hizo makitu.
Nina boxer saba rangi tofauti wife ananikomalia nisirudie, Tukiwa ugenini ndio sijui wapi anaanikaga ila home ni master
Heeeeh!!! unavaa g.strings au??Mie sivaagi hizo makitu.
Mama Mkwe akizikuta haitapendeza, au ukitembelewa na wageni wa heshima itakuaje.Mkuu boxer inapaswa ianikwe nje na ipate hewa na jua sio ndani
Yaani. Nimekuona mdogo wangu nikajikuta nashutuka [emoji12] .Salaam dada ake,
long time duuh
Kwani mama mkwe havai?Mama Mkwe akizikuta haitapendeza, au ukitembelewa na wageni wa heshima itakuaje.
Bora nianike chumbani to,tatizo lenu boxer mnazo 1 lazima mzianike juani "kauka nikuzae".
hahaha me naona tulijificha halafu kila mmoja akawa anamsikilizia mwenzie atatokea lini,Yaani. Nimekuona mdogo wangu nikajikuta nashutuka [emoji12] .
Kulikoni mdogo wangu ulifichwa, nilifichwa au tulijificha?
Ungo ulivunja mwali au ulivunja sahaniKwani mama mkwe havai?
hahaha me naona tulijificha halafu kila mmoja akawa anamsikilizia mwenzie atatokea lini,
Nimeanza mimi kujitokeza mafichoni... lol
Naam, hilo ni muhimu sanaaa katupa uzima na afya.....Hahahaaa. Ila kweli ujue.
Pia hatuna budi kumshukuru M'mungu kwa kutupa uzima mdogo wangu.
Hakika mdogo wangu. Nimefurahi sana kukuona tena my mdogo.Naam, hilo ni muhimu sanaaa katupa uzima na afya.....
Me nimefurahi zaidi dada,Hakika mdogo wangu. Nimefurahi sana kukuona tena my mdogo.
Karibu sana.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Me nimefurahi zaidi dada,
Ahsante sana na karibu na wewe pia.
unaanika nje ila unatafuta kanga unafunikia kwa juu na kubana na vibanio zisianguke. Nguo za ndani pamoja na soks zinapaswa kuwanikwa juani ili kuua fungus.
Me ninazo tatu na zina mwaka wa pili sasa..[emoji36]Boxer saba tuu mbona chache ivo boss