Mlioolewa....


Hapo ndio anatengeneza tatizo ambalo baadae anaweza kuja kulijutia kutokana na kutotimiza vizuri majukumu yake
 
kwa kweli ndoa hazina formula kabisa, kwangu mie kitu cha mkaka (h/boy) kuingia room kwangu kwa kweli hapana, shughuli zangu za room kwangu na room kwa binti zangu kunanihusu mie, watoto wangu wakiwa likizo wananihusu mie, nikizidiwa watamhusu mr, mkaka ana kazi zake na mara moja moja ananisaidia pia zangu kama imetokea uchovu wa kupitiliza, lakini sio jukumu lake kuwa kama kila kitu kwenye nyumba yangu....wamama kwa hili tujirekebishe, tunashirikishe wenzetu(waume) kwenye kusadiana shughuli za ndani....tujirekebishe.
 

I have added your reputation... you have nailed it

Hapo ndio tatizo lilipo... ni wakati gani mwanadoa (mwenza bila kujali jinsia) anapogeuka kuwa mzigo ndani ya ndoa??
 
I have added your reputation... you have nailed it

Hapo ndio tatizo lilipo... ni wakati gani mwanadoa (mwenza bila kujali jinsia) anapogeuka kuwa mzigo ndani ya ndoa??

Kweli maana siku hizi mtu kukuvumilia kiasi hicho na yenyewe yahitaji sana moyo because that is too much
 

The Following User Says Thank You to Rose1980 For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Broda, lakini hata tuliooa tungekushauri jambo hapo!
Pia kuna ile chama kubwa ya ISC, wangeweka inputs zao kwa mtizamo wao!

kaka mkubwa....hata wewe umipata kigugumizi?
 

Kifupi watto wana house gal ndio mama yao....wanampenda kuliko hata mama... na baba wa familia aliisoma hali hiyo ndo maana zikamtoka hoja hizo!!
 

na iwe kama ulivyoomba Rose pia usichoke kusugua goti kuomba mwenzi uliyepangiwa.
 

Noted MJ1...!!halafu huyo ndo atengeeneza binti yake atakyekuja kuolewa... kwa lyfstyle hiyo..tutafika?
 
Kifupi watto wana house gal ndio mama yao....wanampenda kuliko hata mama... na baba wa familia aliisoma hali hiyo ndo maana zikamtoka hoja hizo!!

mmm, mie na swali huyo mume alishakaa na mkewake na kumkanya anachokifanya?? au alikuwa anafurahia tabia ya mkewake na yeye kumalizana na beki tatu???
 

Nyamayao, unaongelea hao wanaume wa Kiafrica hapo au???
 
Jamani hamjambo? Hapa mnajadili nini?

Samahani nimewamisi sana. Mkoloni wangu bado ni tineja, ananitumia atakavyo.

Mkiwaona mjukuu wangu MJ1 na mwalimu wangu Gaijin na wanachama wote hai wa ISC na mfadhili mkuu Smiles....Tafadhali waambieni nimewamisi sana. Naendelea na mgomo mpaka CHAT ROOM irudishwe kwa ajili ya kufanya logistics za infii.
 

Bold...nafikiria kutangaza nia :smile-big::smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…