The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Jamani hamjambo? Hapa mnajadili nini?
Samahani nimewamisi sana. Mkoloni wangu bado ni tineja, ananitumia atakavyo.
Mkiwaona mjukuu wangu MJ1 na mwalimu wangu Gaijin na wanachama wote hai wa ISC na mfadhili mkuu Smiles....Tafadhali waambieni nimewamisi sana. Naendelea na mgomo mpaka CHAT ROOM irudishwe kwa ajili ya kufanya logistics za infii.
Huyo mkoloni babu atakuwa ni HE
Nyamayao, unaongelea hao wanaume wa Kiafrica hapo au???
Ikunda....nawaongelea hawa hawa wetu, inategemeana na malezi, msukuma wangu kuingia jikoni na kupika wakati ni kitu cha kawaida, kumuogesha kijana wake ni kitu cha kawaida....ndiyo malezi aliyokulia....lakini kwa mtu kama Asprin hili haliwezekani.
hongera zako sana, hii midume yetu katika 10 unaweza usiambulie hata mmoja anaemsaidia mwenzake kazi za home.
Na wewe ulikuwa wapi ukawaacha kina Smiles wakaipiga chini CHAT ROOM?:rip::rip::rip:
waliolewa na wasoolewa bado hawajui ndoa ni nini!! nafikiri DC na MJ1 anagalau wanamwanga na wanachoongelea
hongera zako sana, hii midume yetu katika 10 unaweza usiambulie hata mmoja anaemsaidia mwenzake kazi za home.
YET
My very own auntie. ni mwalimu hapa hapa Dar, anafanya kazi, yuko kwenye kamati za kusahihisha mitihani, anasimamia chaguzi mbali mbali e.t.c yuko buzy kupita nyuki mwenyewe kiasi kwamba hata kitanda chake na mumewe anafanya kutandikiwa na housegirl yaani yeye hajui hata ana pear ngapi za mashuka, kijitaulo kile cha siri anafuliwa na mtoto wa kazi maana mama anakurupuka asubuhi kuwahi kazini akirudi ana makaratasi anajifungia study room kazi yake kuuliza watoto wamekula? wameoga? wamelala?....baba umemwekea maji ya kuoga? chakula? e.t.c lakini kilaaa kitu ni baba anagharamia mpaka nauli yake mama ya kwenda kufuatilia madeni ya upatu.
Sasa mmama wa hivi jamani hawi mzigo??
Ikunda....nawaongelea hawa hawa wetu, inategemeana na malezi, msukuma wangu kuingia jikoni na kupika wakati ni kitu cha kawaida, kumuogesha kijana wake ni kitu cha kawaida....ndiyo malezi aliyokulia....lakini kwa mtu kama Asprin hili haliwezekani.
hapo kwenye red pamenigusa sana, huo ni unyanyasaji wa wasichana wa kazi................. hupaswi kumfanyia hivyo hata kama unamlipa mamilioni.
Wewe nani wewe sijui....... eh mkeshahoi unajua wanawake wengi tunajisahau..........maisha ya ndoa ni sehemu ya maisha kwa ujumla haimaanishi kuwa ukiolewa kisha ukawa na kazi ambayo ni very demanding basi usacrifice ndoa yako..... hii inatakiwa iwe sehemu ya ndoa na ndio maana kuna wakati inatubidi tusacrifice maparty ya ofcn kwa kuwa tunahitaji muda kuwa na KUHUDUMIA familia zetu. Na pia ni muhimu pia kunurture our love with our spourses......... ni kupanga tu utaratibu wa maisha .kazi za ofcn unafanya hadi saa kumi na moja kisha unaacha everything ofcn ukija nyumbani ubosi wako wa ofcn, laptop na ubuzy wake unaviacha kwenye mlango ukiingia ndani wewe ni mke na mama wa familia.
Huyu dada alikosea sasa mume ana haki ya kuamua alichoamua. but swali langu ni je walishawahi kukaa chini na kuzungumzia maisha yao yalivyo? Kwa sababu kama hawajawahi kukaa na kume kuchukua maamuzi haya ni kosa kwa kuwa mimi MJ1 nikiwa nafanya kitu wewe hulalamiki I will assume you are ok with it as long as matunda yake unayaona (unless unambie huyo mama mshahara wake haukuwa unaonekana)
hapo kwenye red pamenigusa sana, huo ni unyanyasaji wa wasichana wa kazi................. hupaswi kumfanyia hivyo hata kama unamlipa mamilioni.
FP kwani hizo taulo baba hawezi kuzifua? Halafu kwani ipo moja tu kwamba msipofua siku hiyo mnakwama? Kama ni hivyo mnaweza kuamua kutumia disposable materials.
kuna vitu vinackitisha sana, mambo kama hayo yanatakiwa yaishie room jamani, unampaje mtoto wa mwenzio kitu kama hicho akisafishe?...
si ndo mi ninaposhangaa hapo, mpaka wamfulishe mtoto wa mwenzao? inakera sana......................
Ila DC mi sikubaliani na disposables ila zamu ya kufua inalipa
Yaani mimi sipati picha Nyamayao, hivi yale mavitu ni ya kumpa mtoto afue? hata kama HG tayari anayajua hayo mambo, siyo vizuri kumfulisha
Ikunda....nawaongelea hawa hawa wetu, inategemeana na malezi, msukuma wangu kuingia jikoni na kupika wakati ni kitu cha kawaida, kumuogesha kijana wake ni kitu cha kawaida....ndiyo malezi aliyokulia....lakini kwa mtu kama Asprin hili haliwezekani.
kwangu mie cpendi zamu, kama ana nafac hata kila cku na afue, ki ujumla ckumbuki mwisho nimevifua lini coz yeye akiamka tu anavyo.