Mlioomba ajira za afya tazameni profile zenu.

Naomba ufafanuzi wa huu ujumbe

USAILI HUU UTAFANYIKA KATIKA MKOA AMBAO MSAILIWA ALIOMBEA NAFASI ZA KAZI (KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA)
Nadhani Oral ndo itafanyika kwenye mkoa uliombea,ila written mahali ulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…