Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Habari za wakati huu, suala la kusaka ajira za serikali haijawahi kuwa jambo rahisi kwa wale ambao hawana kazi hata wale ambao wapo kwenye private ila wanataka kuingia serikalini kwa ajili ya security na vitu kama hivyo.
Uchache wa nafasi hufanya wengi wafunge safari hivyo hivyo kwenda Dodoma kujitoa mhanga kwa sababu ukipita Oral hata ukikosa nafasi uliyoomba unawekwa kwenye Database.
Kwa ambao mmewahi kwenda kwenye usaili wa utumishi lakini hamkufanikiwa kwenye nafasi mlizoomba mkaja kupata baadae kupitia Database, njooni mtoe experience yenu jinsi ilivyokuwa na mchakato wenu wa usaili kwa ujumla uliopelekea kuwekwa kwenye database, na pia baada ya kupangiwa, je ulipangiwa kwenye ile ile nafasi kama uliyoifanyia usaili au hata related field ?