Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaj muongozo

Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaj muongozo

Joined
Feb 14, 2022
Posts
62
Reaction score
95
Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu,
Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma.

Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe muongozo tafadhari.
Natanguliza shukran za dhati kwenu wakuu 🙏🙏🙏.
 
NEWA3-NTA-4-6.jpg
 
Back
Top Bottom