Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Nataka kupata majina yenu na nijenge hoja. Nijenge hoja,kama raia wa kawaida wa nchi hii,kuwa mnapaswa kurudia mitihani ya kidato cha nne. Kama si kutungiwa mitihani mipya basi mrudie mitihani na watahiniwa wa mwaka huu kwa gharama nafuu. Baadhi yenu mtatoka hapo mlipo. Hili la mwaka huu ni suala la kitaifa...naamini nitasikilizwa.Natarajia kupata majina laki mbili na ushee kama mko tayari. Tumeni taarifa zenu ya kishule humu😛emselewa@hotmail.com