Mliopata 'zero' jiandikisheni

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Nataka kupata majina yenu na nijenge hoja. Nijenge hoja,kama raia wa kawaida wa nchi hii,kuwa mnapaswa kurudia mitihani ya kidato cha nne. Kama si kutungiwa mitihani mipya basi mrudie mitihani na watahiniwa wa mwaka huu kwa gharama nafuu. Baadhi yenu mtatoka hapo mlipo. Hili la mwaka huu ni suala la kitaifa...naamini nitasikilizwa.Natarajia kupata majina laki mbili na ushee kama mko tayari. Tumeni taarifa zenu ya kishule humu😛emselewa@hotmail.com
 
tangaza na kwenye tv, magazeti na redio mkuu... Very few of them will hav access to jamii forums - jukwaa la elimu
 
We nani?
Kwani hao ndio wa kwanza kupata hizo zero?
tuacheni mambo ya ajabu we mtu kachora zombi,kaandika matusi,verse utegemee huyo huyo tena aje kufanya vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…