Lwanga x Fraga
Fraga aliondoka Simba sababu ya majeraha. Haitoshi sasa Lwanga majeraha yanamuandama.
Mapenzi aliyokuwa nayo Fraga kwa Simba hayapimiki. Akapata majeraha kipindi ambacho alishaingia vizuri sana kwenye mfumo. Inauma sana.
Mambo ya kupigana misumarj sio ya kupuuza,yapo sana tu. Yanapaswa kukemewa na kila mtu bila kuogopa.
Wanaopiga misumari kwanza wanaharibu maisha ya wenzao,pili wanatia hasara club kulipa mshahara mtu ambaye hazalishi.
Ni vyema club iwe inafanya uchunguzi, Kama kuna mtu anapiga misumari hakuna haja ya kutumia nguvu,ni kumpiga chini wakati wa usajili tu.