OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Nijuavyo mimi ili mtu akazanie kitu flani lazima awe motivated, kwamba baada ya hard work kuna reward (matunda),
Tunafahamu lengo la kusoma ni kuelimika, lakini kwa mazingira ya Tanzania kusoma ni fursa ya kujikwamua kiuchumi (majority wapo hapa).
Nauliza mliopo chuoni mnapataje morali ya kusoma? Kipi hasa kinawatia hamasa mkazanie masomo licha ya changamoto mnazopitia kama vile kukosa pesa ya kujikimu n.k?
Natamani kufahamu
Maisha yanawafanya wakomaeNijuavyo mimi ili mtu akazanie kitu flani lazima awe motivated, kwamba baada ya hard work kuna reward (matunda),
Tunafahamu lengo la kusoma ni kuelimika, lakini kwa mazingira ya Tanzania kusoma ni fursa ya kujikwamua kiuchumi (majority wapo hapa).
Nauliza mliopo chuoni mnapataje morali ya kusoma? Kipi hasa kinawatia hamasa mkazanie masomo licha ya changamoto mnazopitia kama vile kukosa pesa ya kujikimu n.k?
Natamani kufahamu
Nikukumbuka matarajio niliyokuwa nayo miaka hiyo naishiwa nguvu [emoji1][emoji1]Matumaini makubwa ya kupata ajira punde tu baada ya kuhitimu
Umaskini wa nyumbani ndio moraliNijuavyo mimi ili mtu akazanie kitu flani lazima awe motivated, kwamba baada ya hard work kuna reward (matunda),
Tunafahamu lengo la kusoma ni kuelimika, lakini kwa mazingira ya Tanzania kusoma ni fursa ya kujikwamua kiuchumi (majority wapo hapa).
Nauliza mliopo chuoni mnapataje morali ya kusoma? Kipi hasa kinawatia hamasa mkazanie masomo licha ya changamoto mnazopitia kama vile kukosa pesa ya kujikimu n.k?
Natamani kufahamu
Sasa pepa ya physiology inakupaje morali? Anyway kaza buti hakikisha unaelewa unachokisoma usipolielewa hilo somo pharmacology itakutesa sana.Pepa ya Medical Physiology hapa ipo inanipa morali mkuu