Mliopo Dar je ni kweli Yanga imeanza ujenzi wa uwanja Kigamboni?

Mliopo Dar je ni kweli Yanga imeanza ujenzi wa uwanja Kigamboni?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
WanaYanga nawasalimu.Kupitia mitandao tunaona picha za Uwanja wa Yanga huko kigamboni.Hebu tupeni dondoo hizi habari ni za kweli?
Screenshot_20191208-104030_Facebook.jpeg
 
Vyuraaaa Amkeni bn 😁😁😁😁😁😁
 
Sio UWANJA!
Ni WANJA wake wenyewe!
 
Jana nimepita nimeona ng'ombe na mbuzi wakijipatia riziki.
 
Back
Top Bottom