Nakubaliana na wewe mkuu ila ni lazima husiwe gizani angalau uwe na idea uweze kupress negotiation! huwezi kuwa gizani ukawa na bargaining power kwani tuna uzoefu jinsi makampuni ya kibiashara yasivyokuwa wazi inapofikia hatua ya faida!Mkuu hata kama bei ikiwa juu sana wewe unazani mpka kufika Ulaya ni Mchezo? hapo kuna ghalama kibao ikiwemo ku process, kupaki, kusafirisha na kusambaza,
£ 8:39/Kg Morrison super markets UK
Asante mkuu ila ni kwa uzito gani?
Sorry mkuu nilipitiwa nimeshapata jibu ni per kg! UbarikiweAsante mkuu ila ni kwa uzito gani?