Nipo rainbaw hapa kaunta ya juuLeo mimi mgeni(mwenyeji) jiji la Wagogo. Kama uko Rainbow karibu tusalimiane.
leo demiss kalala mapema,sio kawaidaduh Demiss njoo mpokee mgeni mjini maana ww unaishi huko mpwapwa ndani ndani
hahaha mkuu vpTaarifa zitoke mapema basi aaaaargh
hahaha mkuu vp
wewe bado upo hapo rainbowaaah safi vipi hali..
jiji lina baridi kali sana na leo Demiss kutwa nzima alikuwa pale Nyerere square anapiga pichaleo demiss kalala mapema,sio kawaida
yani nimeondoka muda si mrefu hapo.wewe bado upo hapo rainbow
soma hiyo karatasi uliyopewa na mhudumu imetoka kwangu ,usiku mwemaLeo mimi mgeni(mwenyeji) jiji la Wagogo. Kama uko Rainbow karibu tusalimiane.