Freetown JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 882 Reaction score 78 Jul 23, 2008 #1 Jamani ombi kwa wenzetu mliopo nyumbani tunaomba kujua matokeo ya mchezo wa leo wa robo fainali kati ya Yanga na Vitalo ya Burundi
Jamani ombi kwa wenzetu mliopo nyumbani tunaomba kujua matokeo ya mchezo wa leo wa robo fainali kati ya Yanga na Vitalo ya Burundi
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Jul 23, 2008 #2 yanga 2-0 vital'o
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,517 Reaction score 4,477 Jul 23, 2008 #3 gang chomba said: yanga 2-0 vital'o Click to expand... Bravo Young Africans (Yanga), mwaka huu tumnyoe huyo mnyama anayejifanya kidume! twende zetu final kisha tubebe kikombe hicho.
gang chomba said: yanga 2-0 vital'o Click to expand... Bravo Young Africans (Yanga), mwaka huu tumnyoe huyo mnyama anayejifanya kidume! twende zetu final kisha tubebe kikombe hicho.
Freetown JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 882 Reaction score 78 Jul 23, 2008 Thread starter #4 gang chomba said: yanga 2-0 vital'o Click to expand... Asante kwa taarifa na hongera kwa wana yanga wote popote mlipo, nashukuru jamii forum kwa kuwa mbele ya vyombo vyote vya habari keep it up
gang chomba said: yanga 2-0 vital'o Click to expand... Asante kwa taarifa na hongera kwa wana yanga wote popote mlipo, nashukuru jamii forum kwa kuwa mbele ya vyombo vyote vya habari keep it up
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Jul 23, 2008 #5 na yanga wamepiga soka la uhakika kila mtu kakubali, yaani mpaka vital'o wakawa hawafokeani, coz hakuna wa kumlaumu yaani wamezidiwa. tofauti na piga twende la ndugu zetu jana...
na yanga wamepiga soka la uhakika kila mtu kakubali, yaani mpaka vital'o wakawa hawafokeani, coz hakuna wa kumlaumu yaani wamezidiwa. tofauti na piga twende la ndugu zetu jana...