bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Nina Div II ya points 10 HGL. Nahtaji kusoma Bcom in Human Resources Management au Bcom in Tourism and Hospitality Management. nisaidien msaada wa mawazo kwa uzoefu wenu na pia nahtaji kujua CUT-OFF points za course hzo je nitafit kwa hzo perfomance yangu? Nitashukuru kwa msaada wenu wakuu
HGL utasomaje BCom?
Mkuu VUVUZELA umeambiwa toa msaada wa ushauri na si msaada wa maswali. HGL na HGK na hata HKL wapo wanaopga Bcom na inategemea ni course gan katka bcom inataka sifa ipi na vgezo vipi.