Mlioripot saut tupeni habari bila mikopo wanagoma kusajili au???

Mlioripot saut tupeni habari bila mikopo wanagoma kusajili au???

siansakala

Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
75
Reaction score
10
mie mtoto wa mkulima,,,100% nategeme HESLB...vp SAUT wanazngua au??????
 
nani kakuambia hata kama mtoto wa mkulima utegemee fees yote acha ujinga ile ni private university kk
 
nani kakuambia hata kama mtoto wa mkulima utegemee fees yote acha ujinga ile ni private university kk

mbona jamaa kaandika vzr 2,yanini kuoneshana ulivingstone kaka,jaribu kuwa na subir pale unapofanya kureply wengne,inauma umaskin wa m2 then unamlivistone kiivyo c poa.
 
Jamani Heslb watutendee haki,SAUT hufanyiwi registration bila kulipa hyo 733000 halafu offcumpus hostel ni kuanzia lak9 hadi 1point something kwa mwaka,hawapokei nusu,kila chumba wawiliwawili,bado hujaweka garama za stationary,umeme,food,jamani,mi nitafanyaje?wakati hyo 733 yenyewe tumeuza mifugo yetu yote nyumbani marangu,kwa nini iwe hvyo? Naombeni ushauri
 
Dah dunia hii, kuulza 2 mlshakwazka wengne mh!
Pole mkuu wasikukatishe tamaa ya kuuliza hawa ndo wazazi wao mafisadi wanajivunia mali za wizi jaman siyo vzur mtu anauliza kitu kzur unamjibu ovyo kama unahasira zako za 'b' kaa kmya usichangie.MNATUKATISHA TAMAA WATOTO WA KIMASKIN SIYO VZURI Hvyo!!
 
Back
Top Bottom