Mliosahau misuli yenu uwanja wa mkapa mnaombwa mkachukue haraka sana kabla mambo hayajaharibika

Nimekuta misuli mingi tu imetupwa uwanja wa mkapa pale nje, sijui waliokuwa wamevaa wamerudi na ninyi majumbani kwao, mwarabu unamkali uchi kweli? Ala
Dah we jamaa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ