Mliosema hakukua na maafa, haya Putin atuma salamu za rambirambi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Warusi wa Kwamtongole humu JF wanakuja na nadharia mpya kila siku za kujaribu kufuta aibu ya kilichotendeka juzi, kunao wanasema hakukua na maafa yoyote, sasa Putin hizi rambirambi anatuma za nini....

Ndege zake zilipigwa chini, marubani wakauawa....huu ulikua uasi wa kumuondoa madarakani sema lizee la Wagner likasahau limeacha familia Moscow, mke na watoto na ukizingatia ile ni nchi ya kimafia mafia, simu moja tu imetosha.
Unapigiwa simu ya video mwanao anawekwa kwenye simu aongee na wewe huku akilia, unamuona kwenye video alivyozingirwa na mafia na vibaka.
=====================

June 27 (Reuters) - President Vladimir Putin on Monday paid tribute to pilots who were killed during the failed weekend mutiny, confirming earlier reports by military bloggers that several planes were shot down by Yevgeny Prigozhin's Wagner militia.

Wagner fighters on Saturday took control of the southern city of Rostov-on-Don and its military command centre steering the Ukraine campaign, then driving an armed convoy within 200 km (125 miles) of Moscow before aborting their insurrection.
"The courage and self-sacrifice of the fallen heroes-pilots saved Russia from tragic devastating consequences," Putin said in his first public address about the mutiny since the weekend events.

There has been no official information about how many pilots died or how many aircraft were shot down.

Some Russian Telegram channels monitoring Russia's military activity, including the blog Rybar with more than a million subscribers, reported on Saturday that 13 Russian pilots were killed during the day-long mutiny.

Among the aircraft downed were three Mi-8 MTPR electronic warfare helicopters, and an Il-18 aircraft with its crew, Rybar reported.

Reuters could not independently verify the reports. It was also not clear in what circumstances the aircraft were shot down and pilots killed.
 
Kama ni kweli huyo mzee Prigozhin nanga sana. Yaani unafanya zoezi kubwa na la hatari namna hiyo halafu unasahau usalama wa familia yako!

Japo sijapitia hata mafunzo ya sungusungu, siwezi kufanya uzembe wa kiwango hicho.
 
Mwisho wa Wagner,hii ni d
20230627_112828.jpg
isarmament Kwa Wagner PMC
 
Kama ni kweli huyo mzee Prigozhin nanga sana. Yaani unafanya zoezi kubwa na la hatari namna hiyo halafu unasahau usalama wa familia yako!

Japo sijapitia hata mafunzo ya sungusungu, siwezi kufanya uzembe wa kiwango hicho.
Hiyo inatosha sana kusema kuwa yale yanabaki kuwa maigizo
 
Wewe mk 244 unasoma na sisi tunasoma.hio conclusion na jinsi unavyofurahia unavipata wap?. Kinachoe delea mpaka sasa dunia nzima wanakuna vichwa.hatujui hii ni psyops au michezo ya chess ya putin. Hiv unaona kabisa prigo hana akil kabisa kabisa akajitoa muhanga.acha mashihara unapoongelea hujajiuliza makomando elfu 30 wapo belarus na mpaka tunaandika hapa camp zimeanza kujengwa huko je huo sio mchezo katika big picture???
 
Warusi wa Kwamtongole humu JF wanakuja na nadharia mpya kila siku za kujaribu kufuta aibu ya kilichotendeka juzi, kunao wanasema hakukua na maafa yoyote, sasa Putin hizi rambirambi anatuma za nini....

Ndege zake zilipigwa chini, marubani wakauawa....huu ulikua uasi wa kumuondoa madarakani sema lizee la Wagner likasahau limeacha familia Moscow, mke na watoto na ukizingatia ile ni nchi ya kimafia mafia, simu moja tu imetosha.
Unapigiwa simu ya video mwanao anawekwa kwenye simu aongee na wewe huku akilia, unamuona kwenye video alivyozingirwa na mafia na vibaka.
=====================

June 27 (Reuters) - President Vladimir Putin on Monday paid tribute to pilots who were killed during the failed weekend mutiny, confirming earlier reports by military bloggers that several planes were shot down by Yevgeny Prigozhin's Wagner militia.

Wagner fighters on Saturday took control of the southern city of Rostov-on-Don and its military command centre steering the Ukraine campaign, then driving an armed convoy within 200 km (125 miles) of Moscow before aborting their insurrection.
"The courage and self-sacrifice of the fallen heroes-pilots saved Russia from tragic devastating consequences," Putin said in his first public address about the mutiny since the weekend events.

There has been no official information about how many pilots died or how many aircraft were shot down.

Some Russian Telegram channels monitoring Russia's military activity, including the blog Rybar with more than a million subscribers, reported on Saturday that 13 Russian pilots were killed during the day-long mutiny.

Among the aircraft downed were three Mi-8 MTPR electronic warfare helicopters, and an Il-18 aircraft with its crew, Rybar reported.

Reuters could not independently verify the reports. It was also not clear in what circumstances the aircraft were shot down and pilots killed.
Haya mshabiki wa pro- LGBT niambie ni nchi gani haijawahi kukumbwa na machafuko ya wenyewe kwa wenyewe!! Ukilinganisha machafuko yaliyotokea urusi ni cha mtoto sana ukilinganisha na nchi zingine kama Marekani ambako walipigana vita wenyewe kwa wenyewe kwa miaka kadhaa!! Nchi za magjharibi zinashangaa imekuwaje maasi yaliyofanywa na Wagner group yameishia ndani nya masaa 24!! Walichokitarajia hawakukipata!!
 
Ushoga ni mambo yenu ya Pwani na mwambao wote huo hadi Mombasa mnafamika mlivyofumuliwa marinda.
 
Haya mshabiki wa pro- LGBT niambie ni nchi gani haijawahi kukumbwa na machafuko ya wenyewe kwa wenyewe!! Ukilinganisha machafuko yaliyotokea urusi ni cha mtoto sana ukilinganisha na nchi zingine kama Marekani ambako walipigana vita wenyewe kwa wenyewe kwa miaka kadhaa!! Nchi za magjharibi zinashangaa imekuwaje maasi yaliyofanywa na Wagner group yameishia ndani nya masaa 24!! Walichokitarajia hawakukipata!!
Dogo usiwe unatuletea habari zako za kuchanwa marinda humu sawa ebu jiheshimu basi umet*****wa hadi umechuja et
 
Wewe mk 244 unasoma na sisi tunasoma.hio conclusion na jinsi unavyofurahia unavipata wap?. Kinachoe delea mpaka sasa dunia nzima wanakuna vichwa.hatujui hii ni psyops au michezo ya chess ya putin. Hiv unaona kabisa prigo hana akil kabisa kabisa akajitoa muhanga.acha mashihara unapoongelea hujajiuliza makomando elfu 30 wapo belarus na mpaka tunaandika hapa camp zimeanza kujengwa huko je huo sio mchezo katika big picture???
Huyo Prigo wako aliwekwa hapo na Putin tu kufanikisha mambo yake walipokutana baada ya kutoka gerezani na kuanza kuuza sausages mtaani.
 
[emoji779][emoji845]The Ukrainian military has already recaptured about 300 square kilometers as part of the summer offensive, which is more than Russia occupied during its winter offensive.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wewe mk 244 unasoma na sisi tunasoma.hio conclusion na jinsi unavyofurahia unavipata wap?. Kinachoe delea mpaka sasa dunia nzima wanakuna vichwa.hatujui hii ni psyops au michezo ya chess ya putin. Hiv unaona kabisa prigo hana akil kabisa kabisa akajitoa muhanga.acha mashihara unapoongelea hujajiuliza makomando elfu 30 wapo belarus na mpaka tunaandika hapa camp zimeanza kujengwa huko je huo sio mchezo katika big picture???
Kwamba ww umejua yanayoendelea belarus ila wazungu wasijue hlf uite ni mchezo labda kama Putin anamchezea Belarus mchezo wa kujifanya kawapeleka wagner belarusi kisa walitaka mpindua
 
Haya mshabiki wa pro- LGBT niambie ni nchi gani haijawahi kukumbwa na machafuko ya wenyewe kwa wenyewe!! Ukilinganisha machafuko yaliyotokea urusi ni cha mtoto sana ukilinganisha na nchi zingine kama Marekani ambako walipigana vita wenyewe kwa wenyewe kwa miaka kadhaa!! Nchi za magjharibi zinashangaa imekuwaje maasi yaliyofanywa na Wagner group yameishia ndani nya masaa 24!! Walichokitarajia hawakukipata!!
LGBT na hii mada vina uhusiano gan ?
 
Yanafaida gan kwenye kipind hiki nchi inapitia upinzan wa ukraine
Alitengeneza yale maigizo ili wapate sababu ya kuivunja Wagner sababu kwanza ilikua inawala hela, pili ilisababisha kushuka kwa Morali ya Jeshi la Russia , maana Wagner ilipata coverage kiasi cha kuonekana Jeshi la Russia ni la ridhaa, kitu ambacho kilirusha morali Jeshini
 
Back
Top Bottom