Mliosema post za ualimu hazitoki tena mbona siwasikii?

SOCIETY'S FOCUS

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
498
Reaction score
685
Kulitokea malumbano humu jamvini kwetu kwa watu ambao hawakuchaguliwa mwanzo na waliochaguliwa huku wengi wao kudai kwamba serikali isitishe kuchukua waliopata division four, naona sasa kimyaaaaaaa!!! na bado diploma ya juu sayansi/hisabati tar 22 watarusha yani humu ndani mtafunga mdomo tu. Dah hawa NACTE jamani wanamwaga majina kama njugu. Kila la heri kwa wenzagu wote Mungu akipenda tukutane UDOM....!
 
mh!hadi wa cheti nadiploma wanaweza pangiwa udom,mzumbe au udsm? nauliza tu,maana ismailyy apojuu kasema kapangiwa udom.nielewesheni basi.
 
Wadau vp khs joining intructions za dip ya ualimu udom mkipata 2juzane bac!
 
4 hawachagui ni 3 and above ndo wanaochaguliwa,wapi mwenye info za joining instruct?
 
udom saiv kuna program ya koz za ualimu diploma na cheti pia wapo sambamba na degree hii ni kutokana na raslimali za majengo mengi yaliyopo chuon hapo kuwa nyingi na wanafunz kidogo hivo wakaona waanzishe koz hizo
 
Niangalizieni naitwa reuben kabujanja namba yangu ya mtihani ni s 1642/0041 shule heri sec school nilipata point 26
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…