Mliosema tangia mwanzo kuwa Yanga ni 'Underdog' kwenye kundi lake mpo humu?

wapite kulee,wapite kule kule kule.....
 
Kuwa underdog hakumaanish kuwa huwez vuka au kuifunga timu kubwa, yanga alikua underdog kwa Al ahly na belouzdad hio Iko wazi, ila hizi timu kubwa zitakua zinaiogopa sana hii nchi maana c kwa kipigo kile alichokula mwarabu jana
 
Hadi nafikia kundika haya maneno yako niyafailia yako na kichwa chako pekee nanibaada ya ushindi huu mtakuja naviswga vya dizaini hii, na nibora wangemaanisha Kama ulivotafsiri hivi kuhusu neno underdog, Ila tafuta NYUZI ZA 2023 zipo nyingi na hizo za yanga kuwa underdog nakejeli zake mzee fukunyua nyuzi za 2023 na chache za 2024 mwezi wa pili baada ya afcon. Usitetee ujinga na upumbavu wa mashabiki wa simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…