Mlioshindwa kukidhi vigezo vya YouTube Monetization - nipo kuwasaidia

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
556
Reaction score
736
Habarini,

Kwa wale ambao wamekuwa YouTuber wanaweza kuwa wanafahamu shughuli iliyopo katika kuhakikisha wanakamilisha mchakato wa kufikisha watch hours 4000 jinsi ambavyo si mchakato mdogo ikiwa ndio kwanza unaanza na hauna mbinu za kuwezesha channel yako kutazamwa na watu wengi, lakini pia kigezo kingine kizito kwa Youtuber anayeanza ni pamoja na kufikisha subcribers 1,000 ili kuweza kukidhi vigezo vya kumonetize channel yake.

Sasa, nimekuja na suluhisho kwa wale wote ambao wapo interested ili kuweza kusaidiwa kupata watch hours ya masaa 4000 (ndani ya siku 7) + subscribers 1000 ndani ya siku 30.

Ikiwa utahitaji nitakusaidia kwa 80$ kupata watch hours ya masaa 4000 (ndani ya siku 7) na pia kwa 80$ nitakuwezesha kupata subscribers 1000 ndani ya siku 30 tuu.
 
mkuu ungeandika unatoa huduma ya kuongeza viewers na followers kwa youtube instead kusema unasaidia alafu unakuja kucharge watu.
 
Back
Top Bottom