Nilisoma clinical medicine mwaka 2018/2019 nikaishia level 4 sababu ya changamoto za ada. Sasa nataka nirejee masomoni Ila nahitaji kusoma radiology .
Swali? Je inaruhisiwa kwenda chuo kingine kusoma radiology ama kozi nyingne za afya. maana nimekuwa nikiambiwa kuwa Bado mfumo unanisoma chuo nilichosoma awali clinica
Nilisoma clinical medicine mwaka 2018/2019 nikaishia level 4 sababu ya changamoto za ada. Sasa nataka nirejee masomoni Ila nahitaji kusoma radiology .
Swali? Je inaruhisiwa kwenda chuo kingine kusoma radiology ama kozi nyingne za afya. maana nimekuwa nikiambiwa kuwa Bado mfumo unanisoma chuo nilichosoma awali clinical medicine
Unaweza Anza chuo kingine ila inategemea kama ulishawahi sajiliwa nacte