Nakumbuka tulikuwa tunajita Milambo men's na kwa kujitenganisha na Tabora boys, ugomvi wetu na tabora boys, tuliukuta na tukauacha, nakumbuka tuligoma kula mpaka mkuu wa shule kipindi kile anaitwa Msemakweli alipoondolewa, nakumbuka na mkuu wa mkoa wa arusha wa sasa tulivyokuwa tunakula ngema nae ( ugali), alikuwa anachukua EGM, namkumbuka mkurugenzi wa NHC wa sasa akiwa bitoz wa nguvu kwa sasa tunasema sharobaro, mwenye tukio zaidi aliweke