MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kuteua waliokataliwa Kiutendaji na aliyekuwa Bosi wako na Kuwaondoa katika Utendaji wale walioaminiwa Kiutendaji na Bosi wako.
Sasa naanza Kuamini kuwa ukifanya Kazi na Mtu mahala ( ofisi ) fulani si vizuri sana Kumuamini kwani huenda hata Maadui zako wakapitia Kwake na Kukuangusha na hata kukuondoa mazima.