Ndiyo Mistadeniss,
Nimefika sehemu nyingi sana, Kuanzia Sirari, tarime, utegi, kowak, buturi,hahi kinesi.
Nikafika tena Randa Soko rabolo, Omoche, Manila hadi ziwani Kwa mganda. Then nikapita minigo, Soto Custom, Masonga, hadi Mihuru bay Kenya. nikarudi tena na bara bara kuelekea, bugire hadi kogaja. Ki ukweli nimefika maeneo mengi hadi vijijini.
toka Rorya, Tarime, Nyamwaga, Nyamongo,hadi Mugumu wilaya ya serengeti.
Yes mkuu MF, akina kembo walikuwa ni wazee wenye misimamo yao, but hawa jamaa huwa wanatofauti sana inapokuja mambo ya politics huwa wanagawanya koo zao hadi watu wanachukiana na kusahau maendeleo.