username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
Hawa mapacha Daniel na Zakayo walisumbua sana hapo St Joseph Millennium mpaka pale alipohamia Simon Mbangalukela na kusambaratisha utawala wao japo haikuwa kizembe.
Mbanga alikuwa anajua sana ila tatizo lake kuu dharau nyingi kwa wenzake .
Tokeo la mwisho la taifa linatoka Daniel (Kulwa) alikuwa wa nne kitaifa akiwa na One ya 7 ,Simon Mbangalukela alikuwa wa 8 kitaifa akiwa na One ya 8 ,wakati Zakayo hakuingia top ten kitaifa lakini naye akipata single digit (one ya 9).
Ushindani baina ya hawa watu ulikuwa wa moto sana