Mliosoma vyema Communication Skills na Public Speaking hii style ya Kuongea ya Abdul Nondo wa ACT-Wazalendo inaitwaje?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....

1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4. Kutotulia katika Kiti ambako kuna muda mwingine huwa hata anakaribia kutaka Kuanguka.
5. Kuongea huku akiing'ata Kalamu ( Peni ) yake ambako kuna Siku alitaka Kujisahau na Kuimeza.
 
Ana force hoja ikubalike wakati hana hoja!! Hiyo ni character ya watu wasio na hoja
 
Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....

1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4. Kutotulia katika Kiti ambako kuna muda mwingine huwa hata anakaribia kutaka Kuanguka.
5. Kuongea huku akiing'ata Kalamu ( Peni ) yake ambako kuna Siku alitaka Kujisahau na Kuimeza.
Uko na video tuone?
 
Teh teh yani ukiwa unajua muandiko ya member humu ndani hujiulizi mara mbili huu muandiko ni wa nani

Abdul Nondo nae mchumia tumbo tu kama wachumia tumbo wengine. Anapiga piga makelele na kufoka ili aonekane atupiwe kipande cha mnofu na yeye. Hali mbaya hadi alijiteka akaenda kujificha Iringa kwa demu wake unafanya mchezo nini
 
Kiukweli sio nondo tu hata wanasiasa wengine, huwa najiuliza hiyo style ya kushout na kuongea kwa hasira kana kwamba ndio wapo enzi za kupinga apartheid ndo uanasiasa ama !!!...

au ndio style sawa na sauti ya kutetemeka kwa wachungaji wa makanisa ya kiroho. Binafsi huwa sielewi
 
Siku moja huyo dogo alikua anahojiwa Star Tv baada ya Maalim kuunga juhudi ile siku ndo niligundua hamna kitu Upinzani ulimbeba(ukiwa mpinzani hata ukikosea utatewa kwa nguvu zote).Alipigwa spana kishenzi anababaika usoni kama mgongoni.
 
Mwambieni akasome kwa mustakabali wa maisha yake aache kuwa mpambe wa Zitto. Zitto mwenyewe hajawahi kuaminika tangu azaliwe!
 
Tuwekee angalau ka video, ulishajiuliza kwa nini wale wachungaji huwa wanaongea kwa sauti ile ya kukwaruzaaa na makeke mengi, wakati mwingine huwa zinakuwa vijana wanaita swaga ili uonekane wewe ndo mwamba zaidi kuliko wengine wote..
 
Kwa speed ya Nondo nina hakika atapata ulaji soon. Ccm ikiona mtu ni mzungumzaji kisha awe anaishambulia serikali mara kwa mara, ni rahisi sana kuvutwa na ccm, na Nondo nadhani kashaujua udhaifu huu hivyo anataka kutokea hapo hapo. Hapa simaanishi kuwa Nondo ni mwanasiasa mahiri, bali najua udhaifu wa ccm kwa watu wa aina ya siasa za Nondo.
 
Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....

1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4. Kutotulia katika Kiti ambako kuna muda mwingine huwa hata anakaribia kutaka Kuanguka.
5. Kuongea huku akiing'ata Kalamu ( Peni ) yake ambako kuna Siku alitaka Kujisahau na Kuimeza.
Agitation
 
Back
Top Bottom