Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
SahihiHuyo Abdul Nondo ni kijana hana kabisa Public Speaking Skills! Anajifanya mjuaji kwa kukariri mambo meeeeengi ambayo hawezi kuya- channel vizuri na kwa utulivu kwenye Public domain.
Zitto Kabwe kaa umpike huyo kijana !
Hizo tabia hazihusu communication skills,bali ni issues za tabia zake binafsi,na anadhihirisha kuwa ni mgonjwa atafute mtaalamu wa saikolojia amshauriKila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....
1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4. Kutotulia katika Kiti ambako kuna muda mwingine huwa hata anakaribia kutaka Kuanguka.
5. Kuongea huku akiing'ata Kalamu ( Peni ) yake ambako kuna Siku alitaka Kujisahau na Kuimeza.
Sisi wote ni wachumia tumbo tu.Teh teh yani ukiwa unajua muandiko ya member humu ndani hujiulizi mara mbili huu muandiko ni wa nani
Abdul Nondo nae mchumia tumbo tu kama wachumia tumbo wengine. Anapiga piga makelele na kufoka ili aonekane atupiwe kipande cha mnofu na yeye. Hali mbaya hadi alijiteka akaenda kujificha Iringa kwa demu wake unafanya mchezo nini
Mbona hata we we ni unabwabwaja saana hapa mitandaoni, mbona mpaka leo CCM hawajakufikilia ata ubarozi wa mtaa wenuuu?? Au huwa umejaa pumba tupuu??Kwa speed ya Nondo nina hakika atapata ulaji soon. Ccm ikiona mtu ni mzungumzaji kisha awe anaishambulia serikali mara kwa mara, ni rahisi sana kuvutwa na ccm, na Nondo nadhani kashaujua udhaifu huu hivyo anataka kutokea hapo hapo. Hapa simaanishi kuwa Nondo ni mwanasiasa mahiri, bali najua udhaifu wa ccm kwa watu wa aina ya siasa za Nondo.
Mbona hata we we ni unabwabwaja saana hapa mitandaoni, mbona mpaka leo CCM hawajakufikilia ata ubarozi wa mtaa wenuuu?? Au huwa umejaa pumba tupuu??
Kwa akili yako hiiii umwongoze nanii?? Bakia hukohuko ufipani kwa wanywa virobaaNingetaka siasa za vyeo ningeshapata, kwa bahati mbaya mimi napenda siasa kwa hobby, na sio kunitoa kimaisha maana niko vizuri.
Kwa akili yako hiiii umwongoze nanii?? Bakia hukohuko ufipani kwa wanywa virobaa
Mnapenda kusikiliza watoto waliochanganyikiwa hata kabla hawajaanza rika la ujana-uzee. Acha kulalamika. Unapataje muda wa kumsikiliza mtu wa namna hii?Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....
1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4. Kutotulia katika Kiti ambako kuna muda mwingine huwa hata anakaribia kutaka Kuanguka.
5. Kuongea huku akiing'ata Kalamu ( Peni ) yake ambako kuna Siku alitaka Kujisahau na Kuimeza.
Ni kukosa hoja za msingi iliyobaki ni kujadili watu. Tutafakari tumekosea wapi.Usiku sikulala nilikesha ninamfikiria mtu wa kumnanga leo, kuzungumzia watu ndiyo fani yangu pendwa.
Foolish.Mnapenda kusikiliza watoto waliochanganyikiwa hata kabla hawajaanza rika la ujana-uzee. Acha kulalamika. Unapataje muda wa kumsikiliza mtu wa namna hii?
Hahahaaaa yaani Nondo? ππππKila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....
1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4. Kutotulia katika Kiti ambako kuna muda mwingine huwa hata anakaribia kutaka Kuanguka.
5. Kuongea huku akiing'ata Kalamu ( Peni ) yake ambako kuna Siku alitaka Kujisahau na Kuimeza.
Ongozaneni hukohuko ufipani kwa akina mwamba wenuu.Mangiri kama nyie nawoongoza hata mkiwa milioni 5.
Inaitwa haranguing style. Ilijengwa na Karl Heinz Goebbels katibu mkuu wa Hitler. Mwangalie tundulissu anavyoongea, mlinganishe na Hitler, copyright.Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....
1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4. Kutotulia katika Kiti ambako kuna muda mwingine huwa hata anakaribia kutaka Kuanguka.
5. Kuongea huku akiing'ata Kalamu ( Peni ) yake ambako kuna Siku alitaka Kujisahau na Kuimeza.
Chadema Wana shida sanaKila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....