Mliotahiriwa na ganzi eti ni kweli kwamba ile sindano ili kupata ganzi huwa ina athari baadaye?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Mimi nilitahiriwa bila ganzi, hivyo sijui!

Lakini naomba kujua, kuna baadhi ya taarifa katika jamii kuwa ile sindano ya ganzi inayochomwa kwenye mapumbu hubaki kwa athari ya baadae!

Ndiyo maana baadhi ya makabila hayaruhusu watoto kutahiriwa hospital!

Je ni kweli!? Kama kuna hanithi humu naomba ajitokeze kutoa ushuhuda!
 
Hakuna kwa maana kaka zangu wote walifanyiwa hospitali na wameoa wanawatoto napia ukweli ni huu hadi leo wadada wanawang'ang'ania ile mbaya hadi mke wakaka kaita kikao.
So sijui labda kwa saivi.
 
Hakuna madhara. Mimi nilitahiriwa kwa ganzi nikiwa na miaka 30, nikiwa tayari nimeoa. Sijapata madhara yoyote.
 
Nani alikuambia kuwa inachomwa kwenye pumbu.?
Pumbu na govi vinauhusiano upi kwenye kutahiriwa..?
We sema umepata demu akakulazimasha utahiriwe, ndiyo umekuja kupata nondo hapa..
 
Hakuna madhara. Mimi nilitahiriwa kwa ganzi nikiwa na miaka 30, nikiwa tayari nimeoa. Sijapata madhara yoyote.
Halafu kuna fununu eti mtoto wa kike akikukuta govi, hakuachi kamwe..
Imekaaje hii...?[emoji849][emoji849]
 
Hakuna kwa maana kaka zangu wote walifanyiwa hospitali na wameoa wanawatoto napia ukweli ni huu hadi leo wadada wanawang'ang'ania ile mbaya hadi mke wakaka kaita kikao.
So sijui labda kwa saivi.
Si tumeelewana wadada wasiku hizi wanafuata mkondo wa hela, sio mkondo wa machine kali.
 
Back
Top Bottom