Mliotaka Kulazimisha Eid iwe Leo Alhamisi au Kesho Ijumaa mnajisikiaje Eid kuwa Jumamosi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Uvivu na Kupenda kula Bata unawaponza. Mliitaka iwe Alhamisi ya leo ili Siku za Kula Bata ziwe Nne ( Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili )

Mlivyoona Kimahesabu kula Eid Alhamisi ( yaani Leo ) haiwezekani mkataka sasa Kulazimisha kuwa Eid iwe Kesho Ijumaa ili kama Kawaida ya kuwa Kwetu Wavivu na Kupenda kula Bata mpumzike Siku Tatu ( Ijumaa, Jumamosi na Jumapili )

Sasa tarehe ya uhakika ya Kula Eid ambayo imepangwa na Mwenyezi Mungu ( Allah ) Mwenyewe kwa mwaka huu ni tarehe 22 April, 2023 ( ambayo itakuwa ni Keshokutwa Jumamosi ) hivyo acheni Uvuvu Kesho Ijumaa ni Siku ya Kazi Kazi kama Kawaida na kwa Wanafunzi wanatakiwa kwenda Shuleni kuendelea Kusoma na hakuna Kulala.

Na Sikukuu mtakula / mtaila Siku ya Jumamosi ambayo itakuwa ni Eid Mosi na kumalizia Siku ya Jumapili ambayo itakuwa ni Eid Pili na Jumatatu utamaduni wa Watu kwenda Kazini Kuwajibika na Shuleni Kuelimika inaendelea.

Ukiununia huu Uzi Mie wala sijali ng'o!
 
Dini Hadi ifuate mwezi aisee 😂
Mi wameniuzi kwakweli.

Ifike sehemu mwezi na wenyewe uheshimiwe. JUA lionekane, lisionekane, siku itaanza na kuisha muda waliosema wenyewe.

Kupatwa kwa mwezi, tarehe inajulikana na ni moja tu, watakaoona, kuwe na wingu au CLEAR SKY, ndo inakuwa imepita, sasa hapa wanatuletea za kuletwa!

Mimi nimeuona, ndo nshasogea kwenye mifereji.....
 
Uvivu na Kupenda kula Bata unawaponza. Mliitaka iwe Alhamisi ya leo ili Siku za Kula Bata ziwe Nne ( Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili )

Mlivyoona Kimahesabu kula Eid Alhamisi ( yaani Leo ) haiwezekani mkataka sasa Kulazimisha kuwa Eid iwe Kesho Ijumaa ili kama Kawaida ya kuwa Kwetu Wavivu na Kupenda kula Bata mpumzike Siku Tatu ( Ijumaa, Jumamosi na Jumapili )

Sasa tarehe ya uhakika ya Kula Eid ambayo imepangwa na Mwenyezi Mungu ( Allah ) Mwenyewe kwa mwaka huu ni tarehe 22 April, 2023 ( ambayo itakuwa ni Keshokutwa Jumamosi ) hivyo acheni Uvuvu Kesho Ijumaa ni Siku ya Kazi Kazi kama Kawaida na kwa Wanafunzi wanatakiwa kwenda Shuleni kuendelea Kusoma na hakuna Kulala.

Na Sikukuu mtakula / mtaila Siku ya Jumamosi ambayo itakuwa ni Eid Mosi na kumalizia Siku ya Jumapili ambayo itakuwa ni Eid Pili na Jumatatu utamaduni wa Watu kwenda Kazini Kuwajibika na Shuleni Kuelimika inaendelea.

Ukiununia huu Uzi Mie wala sijali ng'o!
 
Uvivu na Kupenda kula Bata unawaponza. Mliitaka iwe Alhamisi ya leo ili Siku za Kula Bata ziwe Nne ( Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili )

Mlivyoona Kimahesabu kula Eid Alhamisi ( yaani Leo ) haiwezekani mkataka sasa Kulazimisha kuwa Eid iwe Kesho Ijumaa ili kama Kawaida ya kuwa Kwetu Wavivu na Kupenda kula Bata mpumzike Siku Tatu ( Ijumaa, Jumamosi na Jumapili )

Sasa tarehe ya uhakika ya Kula Eid ambayo imepangwa na Mwenyezi Mungu ( Allah ) Mwenyewe kwa mwaka huu ni tarehe 22 April, 2023 ( ambayo itakuwa ni Keshokutwa Jumamosi ) hivyo acheni Uvuvu Kesho Ijumaa ni Siku ya Kazi Kazi kama Kawaida na kwa Wanafunzi wanatakiwa kwenda Shuleni kuendelea Kusoma na hakuna Kulala.

Na Sikukuu mtakula / mtaila Siku ya Jumamosi ambayo itakuwa ni Eid Mosi na kumalizia Siku ya Jumapili ambayo itakuwa ni Eid Pili na Jumatatu utamaduni wa Watu kwenda Kazini Kuwajibika na Shuleni Kuelimika inaendelea.

Ukiununia huu Uzi Mie wala sijali ng'o!
Sisi bodaboda tungepata shida sana. Bank zifungwe mpaka J3, Vicoba tungelipaje? Mitano kwale tafadhali
 
MWEZI... sikuwahi kuweka akilini kuwa mwezi kwa waislamu ni kitu kikubwa kiasi hiki. Huendanikashawishika kuwa wanaabudu mwezi...confused!!
 
Back
Top Bottom