Mliotaka yanga ipoteze mbele ya rivers United mezeni Panadol /paracetamol mtulize maumivu ya kichwa.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Jitu limevimba baada ya kuona fiston kalala mayele akitupia magoli mawili akipewa asist kutoka kwa keptein bakari nondo mamunyeto (Kaka mkubwa),

Uchuro/makelele mliyokuwa mkipiga humu jamii forum nakudhani kwamba yanga itafungwa lakini mmeishia kupata aibu sura zimewashuka Kama pilitoni.

Hongera yanga kwa kufunga magoli mawili ugenini ambapo ni sawa na shilingi milioni kumi za mama.
Mliokuwa mnaomba/nakubana sehemu zenu Siri chukueni Panadol/paracetamol mtulize maumivu yakubana sehemu za Siri pamoja mishipa ya shingo.

Na kwa taarifa yenu yanga itafika mpaka fainal na hamtoamini macho yenu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni kama nyie mlivyodhani Simba atapigwa na Wydad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…