Mliotembea Ulaya na Amerika, wazungu wanapandisha mashetani?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Huku kwetu hasa shuleni ni jambo la kawaida mtu kupandisha mashetani au kuanguka kwa mashetani hasa wadada, je uko kwa wazungu nao wanapandishaga au?
 
Wewe unaulizia wazungu hasa au Waswahili walioko Uzunguni? Kama ni waswahili walioko Uznunguni wanapandisha shetani, lakini wazungu hawapandishin wao wenyewe ni masheitani
 
Inayoitwa kupandisha mashetani ni matatizo ya akili au usanii basi.
Sio kweli.
Hicho kinachoitwa kupandisha mashetani ni kitu cha ajabu sana kwani mimi ni shuhuda wa nguvu za hiyo kitu mara nyingi tu.

Mtu aliyeingiwa na hicho kitu anauwezo wa kufanya kitu ambacho kikawaida ni eidha hakiwezekani kikafanyika mtu akabaki hai au kisiwezekane kabisa.
 
ni kweli, mmoja darasani kwetu alikua anapiga meza kichwa kitu ambacho kwa kawaida ungesema lazima apasuke ila hapasuki na yakishatoka anakua mzima
 
Halafu ni nadra sana kutokea kwa wanaume.

Back
Top Bottom