GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimezipitia sababu zenu nane katka Ripoti yenu ya Pili mliyoitoa leo na kugundua kuwa, japo mmezunguka sana ila ukituliza kichwa ni kama vile 98% ya lawama mnazielekeza kwa Marubani ambayo bahati mbaya pia walifariki dunia siku ya ajali.
Kama GENTAMYCINE baada ya ajali nilijitahidi kutafuta Wataalam wa Mambo Safari za Ndege (Aviation) kuanzia Marubani Wastaafu, Wahandisi wa Ndege na kupitia Machapisho mbalimbali ya Usalama wa Ndege na kugundua kuwa kwa 99% ile ajali ilichangiwa na Uzembe wa Mamlaka katika Viwanja vya Ndege vya Bukoba na Mwanza na Marubani hawana/hawakuwa na kosa lolote lile ila mmeamua kuwatupia mzigo wa lawama kwakuwa hawako tena duniani na hawawezi kujitetea na kusema ukweli wote.
R.I.P Marubani wawili wa Precision Air.