Mliotutangulia vyuoni naombeni msaada wenu!!!

Mliotutangulia vyuoni naombeni msaada wenu!!!

Mgimiloko

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
24
Reaction score
2
Kuna fucult zifuatazo zinanipa kiwewe kuzielewa....
1.Bachelor of Arts in Education
2.Bachelor of Education in Arts
ipi inayobeba somo 1 la kufundishia?
 
hizo ni bachelor za umasikini(bachelor of poverty in arts and bachelor of arts in poverty)!! utasomaje mambo ambayo hayathaminiwi na serikali yenu au unadanganyika na mkopo asilimia mia 100%....jipangeeeeeeeeeeeeee!!!
 
Kuna fucult zifuatazo zinanipa kiwewe kuzielewa....
1.Bachelor of Arts in Education
2.Bachelor of Education in Arts
ipi inayobeba somo 1 la kufundishia?

Kijana kwanza naomba nikurekebishe, hizo ulizotaja sio Faculty kama unavyofikiri, hizo ni degree programme katika faculty au department moja! Hiyo ya kwanza main degree yake ni BA (yaani Bachelor of Arts, so somo la kwanza ni Arts, hiyo ya pili ni degree ya education ( BA.Ed) so somo la kufundishia ni educatiuon sina hakika ila kwa udhanifu wangu ni kuwa wanafundisha walimu wa masomo ya sanaa!
 
hizo ni bachelor za umasikini(bachelor of poverty in arts and bachelor of arts in poverty)!! utasomaje mambo ambayo hayathaminiwi na serikali yenu au unadanganyika na mkopo asilimia mia 100%....jipangeeeeeeeeeeeeee!!!

Itawezekana kweli wote tukasomea za utajiri?
 
hizo ni bachelor za umasikini(bachelor of poverty in arts and bachelor of arts in poverty)!! utasomaje mambo ambayo hayathaminiwi na serikali yenu au unadanganyika na mkopo asilimia mia 100%....jipangeeeeeeeeeeeeee!!!

kumbuka kuwa mungu kampa kila m2 kipaji chake so hatulingani acha kashfa
 
Hizo ni degree programs na sio faculty, hio ya kwanza inaitwa Bachelor of Arts with Education, hapo utakuwa na teaching subjects mbili, hiyo ya pili ni Bachelor of Education in Arts kwenye hii utakuwa na teaching subject moja ila utasoma course nyingi za Education kama Foundation of Education,Curriculum,educational psychology e.t.c
 
weh mwenyewe ukweli unaujua!!! acheni kusoma kozi msiozipenda kisa hela za mikopo halafu baadae mnajifanya mnagoma!
 
hizo ni bachelor za umasikini(bachelor of poverty in arts and bachelor of arts in poverty)!! utasomaje mambo ambayo hayathaminiwi na serikali yenu au unadanganyika na mkopo asilimia mia 100%....jipangeeeeeeeeeeeeee!!!

Kaka ungefikaje hapo ulipo wasingekuepo wale ticha zako wa Arts? So uckandie bna cha zaidi changia jinc gani serikali ifanye ili thamani yao ipande, na futa hizo ideas. Peace 😎
 
Nashkuru kwa kurekebishwa lkn still swali halijajibiwa kabisa,degree program ya kwanza nimeambiwa nimekosea...lkn sijakosea ni hiyohiyo BACHELOR OF ART IN EDUCATION na ndo nimechaguliwa St.Johns.....so kusema nimekosea sio sawa ila wewe ndo huijui....
 
hayo ni majina yenye maana zinazokaribia,kwa SAUT inaitwa bach.of arts with education na masomo mawili inategemea unapenda nini,na pia had masomo ya biashara yapo ndan ya hii for ur future. new career out of that.
 
hizo ni bachelor za umasikini(bachelor of poverty in arts and bachelor of arts in poverty)!! utasomaje mambo ambayo hayathaminiwi na serikali yenu au unadanganyika na mkopo asilimia mia 100%....jipangeeeeeeeeeeeeee!!!

ukisikia jitu pumbaaavu ndio ili,puuumbaaavuuu!!
 
Back
Top Bottom