Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uku Napo kwa upo,mmmhKwaio mkuu hata io pad yako hujui kuitumia? 😂 😂 😂
Acha kelele muelekezee mwenzio anataka kumaliza mission zake za gta😂Na uku Napo kwa upo,mmmh
Haha nimesahau nilicheza kitambo,njoo nikuelekeze urudi kumpa darasaAcha kelele muelekezee mwenzio anataka kumaliza mission zake za gta😂
😂😂😂Mimi tatizo kuelekeza ndo siwez hapa nawaza nimwambiaje kwa urahisi anieleweeHaha nimesahau nilicheza kitambo,njoo nikuelekeze urudi kumpa darasa
Labda aweke screenshot ,uanze kumwambia iba hiyo gari kimbia,polisi wakimbiza atajijua mwenye akipigwa risasi ,maana hawana huruma wale wehu😂😂😂Mimi tatizo kuelekeza ndo siwez hapa nawaza nimwambiaje kwa urahisi anielewee
😂😂😂😂Apo fasta sanaa mission itakuwa impossible, 😁😁Labda aweke screenshot ,uanze kumwambia iba hiyo gari kimbia,polisi wakimbiza atajijua mwenye akipigwa risasi ,maana hawana huruma wale wehu
Nawacgokozaga nikiwa Sina kazi,nalipua mpaka kambi za jeshi,na vituo vya polisi,alafu napanda kifaru,,natafutwa na nchi nzima Apo,mpaka omba omba Barabarani ananikimbiza ,ma helkopta juu,hahah😂😂😂😂Apo fasta sanaa mission itakuwa impossible, 😁😁
BAGUVIXRahisi Sana ukipata zile key zake ,Kuna jina zinaitwa,ukiandika maneno flani,itakuja kitu Cha kukusaidia kwenye Mishe,Kama unataka gari itembee kwenye maji,Kama unataka silaha ya aina flani,Kama unataka ela,Kama unataka uongeze maisha n.k fuata maelezo na njia ya kwenda Mishe unayotaka mkono wakulia pale,ukimaliza Mishe y kwanza nyingine zinafuata,usisahau kusave,ili ukija kuanza Tena ,unaendelea ulipoishia
😂😂Au atumie ramani tuu, .. Sasa sijajua anacheza gta ngp😁Labda aweke screenshot ,uanze kumwambia iba hiyo gari kimbia,polisi wakimbiza atajijua mwenye akipigwa risasi ,maana hawana huruma wale wehu
Kwa wale mliowahi kucheza game za gta ety. Mpaka uwe unajua kiingereza ndio uliweze mission zake watu wanaisifia Sana hasa San Andreas, niliwahi jaribu kuidownload mwanzo tu nashindwa kujua niende wapi naona la mtu kamesimama tu.