Usiogope na usifadhaike kwa changamoto unazozipitia. Jifunze kuwaza, kuona na kutenda mambo chanya rafiki maana hutakaa uumie wala kuwaza huko ulikofikia.Naposema mlinganyo wa shetani namaanisha hivi, una-graduate chuo na gpa nzuri tu, una-apply kazi sehemu tofauti zaidi ya Mara 104 hivi, na zote unakosa..
Unajaribu biashara kadhaa, lakini biashara zote zinafeli, na kabla ya kufeli, zikiwa zinaendelea, zinakupa hela ya kula tu, hela ambayo haitoshi kuanzisha nayo familia.. Then baadae zinafeli, kwasababu zinakuja hasara ambazo zinakula hadi mtaji, sasa wtf is this, mlioweza ku-solve hii equation mje mtoe ushuhuda wenu hapa.
Tatizo kubwa linaanzia kwenye elimu inayosisitiza kufaulu tu ikionyesha kufeli kuwa jambo baya!Cha msingi unapojaribu kazi Fulani elewa kuna kufanikiwa na kutofanikiwa!Cha msingi ni uvumilivu na kutotamani makuu wakati hali bado ngumu!Anza kufikiria kazi za kawaida za kukuingizia hata sh.10000/ kwa siku!Mfano anza kufundisha wanafunzi masomo ya ziada kwa kuwafuata hata makwao si lazima uwe na center sababu hata mtaji huna!Cha msingi kama wewe ni mwanamume anza kufundisha watoto wa kiume tu ili kuepuka matatizo mengine!Naposema mlinganyo wa shetani namaanisha hivi, una-graduate chuo na gpa nzuri tu, una-apply kazi sehemu tofauti zaidi ya Mara 104 hivi, na zote unakosa..
Unajaribu biashara kadhaa, lakini biashara zote zinafeli, na kabla ya kufeli, zikiwa zinaendelea, zinakupa hela ya kula tu, hela ambayo haitoshi kuanzisha nayo familia.. Then baadae zinafeli, kwasababu zinakuja hasara ambazo zinakula hadi mtaji, sasa wtf is this, mlioweza ku-solve hii equation mje mtoe ushuhuda wenu hapa.
Ulipata Somo zuri sana lamaishaHii ilinikuta mwanzoni mwa mwaka huu. Baada ya kumaliza chuo sina kazi nikaanza biashara. Kusema ukweli japo nilifilisika ila nilijifunza sana. Makosa niliofanya ni nilikua desperate since biashara mpya na sikua na customer base nzuri plus uoga nikawa sina standards zinazo niongoza. Nikaishia kukopesha mtaji wote ukaishia huko. Watu nao wakawa wanasumbua kunilipa au wakinilipa wanalipa nusu nusu pesa inaishia juu kwa juu. Ikabidi nitafute mtaji mwingine nianze upya. Saivi sikopeshi mambo yanaenda vzr tu.