Mliowahi kupita kwenye idara ya Uhamiaji na Magereza tunaomba uzoefu wenu

Great YHC

Senior Member
Joined
Jan 1, 2024
Posts
165
Reaction score
603
Wakuu wadogo zenu tupo kwenye usaili idara za usalama kipindi hichi.

Tunaomba muongozo muliwahi kupita au mpo kwenye idara hizi, tunafahamu kuna undugu kwenye taasisi za usalama lakini hatuchoki kuomba msitukatishe tamaa.
 
Wanapima mvungu na nywele sehem ya haha kubwa, jiandae.
 
Wakuu wadogo zenu tupo kwenye usaili idara za usalama kipindi hichi.

Tunaomba muongozo muliwahi kupita au mpo kwenye idara hizi, tunafahamu kuna undugu kwenye taasisi za usalama lakini hatuchoki kuomba msitukatishe tamaa.
Uhamiaji unafahamu Lugha ngapi za kigeni nje ya kiingereza? Unazoweza ongea fluently? Na utapewa interview kuhakiki
 
Back
Top Bottom