Hospitali walinambia nina typhoid nikapewa dawa za wiki zimeisha!!
Hili tatizo jipya limeibuka
Umetumia lugha ngumu kueleweka ungeandika UTI WA MGONGO ungeeleweka kwa harakaWakuu,
Kama unashawai kuugua ugonjwa wa meningitis au ndugu yako naomba ushare experience!
Nina hizi dalili sasa kwa muda
1. Kichwa kuwaka moto/kuuma muda wote
2. Joto kali kichwani Fever
3. Kuumwa mgongo
4. Nimetoka rashez mkononi
Je si dalili hizi?
Meningitis kwa kiswahili ni nini?Umetumia lugha ngumu kueleweka ungeandika UTI WA MGONGO ungeeleweka kwa haraka
Fuata ushauri uliopewa fika hospitali upime ujue kama ni ugonjwa huo au mwingine
Maana dalili pekee hazitoshi kung'amua kama ni ugonjwa huo au mwingine
Uti wa Mgongo kwa tafsiri ya GoogleMeningitis kwa kiswahili ni nini?
Meningitis ni uti wa mgongo? wabongo kwa ujuaji bhana..😅Uti wa Mgongo kwa tafsiri ya Google
Wataalamu watatusaidia zaidi
Meningitis ni uti wa mgongo? wabongo kwa ujuaji bhana..